JPM Aiagiza Wizara ya Fedha Kuchunguza Matumizi ya Bilioni 15.3 za TAZARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya shilingi Bilioni 15.3 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kughamia matumizi ya Mamlaka ya usafiri wa Reli Tanzania na Zambia (TAZARA).

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad