Kagere na wengine watatu warejea mazoezini Simba SC


Wachezaji wa Simba SC, Meddie Kagere, Deo Kanda, Francis Kahata na Sharaf Shiboub jana jioni wameanza mazoezi na wenzao kujiandaa na msimu mpya.

MK14 hana mchezo kabisa siku ya kwanza ya mazoezi na kazi ya kufunga ikaanza. Magoli ya Meddie Kagere na Wilker Da Silva wakifunga kwenye mazoezi ya jioni, na fundi Ibrahim Ajibu kafunga mawili.




   

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad