Kama Unataka Kupungua, Beyonce Umetoa siri


Staa wa muziki wa Pop na RnB duniani Beyonce Knowles "Queen B" ameeleza siri ya safari yake ya kupunguza mwili kwa haraka zaidi kabla ya kutumbuiza tamasha la Coachella lililofanyika April 14-21 mwaka 2018.


Beyonce ameeleza kuwa kwenye filamu yake ya Home coming, Beyonce alikuwa ana kilo 175 baada ya kujifungua watoto mapacha waitwao Rumi Carter na Sir Carter.

Pia tovuti hiyo imeeleza kuwa Beyonce aliandaliwa lishe maalumu ya siku 22 ya kupunguza uzito kutoka kwa rafiki yake, mwalimu wake wa mazoezi na mwanasaikolojia aitwaye Marco Borges, ambaye alikuwa anampatia vyakula vya lishe, mazoezi ya kukimbia na kucheza, kumpa matunda na mbogamboga ndani ya siku 22 tu.

Siku 44 baadaye Beyonce alipungua kutoka kilo 175 hadi kilo 79, na alitumbuiza stejini kwa muda wa masaa mawili kwenye tamasha la Coachella. Katika tamasha hilo Beyonce alilipwa Dola Milioni 4, sawa na Bilioni 9 za Tanzania.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad