Katibu wa Zitto Kabwe Atimkia CCM


Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).



Jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kadi ya CCM katibu wa mbunge Zitto wakati wa Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.

Waziri Mkuu Majaliwa alimpongeza kwa uamuzi alioufanya wa kukihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad