Kenya: Maduka ya Safaricom Kufungwa Nchi Nzima

Kenya: Maduka ya Safaricom kufungwa nchi nzima
Maduka ya kampuni ya mawasiliano nchini Kenya ya Safaricom yanatarajiwa kufungwa nchi nzima hapo kesho kuomboleza kifo cha aliyekua Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo Bob Collymore.

Tayari mwili wa Afisa huyo umekwisha chomwa moto hapo jana kama alivyohitaji, tukio lililoshuhudiwa na familia, ndugu na marafiki wa karibu pekee.

Kigogo huyo alifariki Julai Mosi mwaka huu nyumbani kwake mjini Nairobi alipokua akisumbuliwa na saratani ya damu kwa miaka miwili.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad