Kesi ya House Girl Aliemuua Bosi Wake Kwa Shoka


Mkazi wa Vingunguti Dar es Salaam, John Thomas (59) ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi Mke wake mdogo alivyofia mikononi mwake baada ya kupigwa na Shoka na mfanyakazi wake wa ndani Onorina Shabani (19)

Thomas ameyaleza hayo wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Msajili wa Mahakama, Pamela Mazengo akiongozwa na Wakili wa Serikali, Grace Mwanga.

“Mke wangu alikuwa kalala chini, damu zinambubujika, hawezi kuongea, hana nguvu, mapovu yanamtoka mdomoni huku akiwa na jeraha kichwani,”

Kesi hiyo imeahirishwa ambapo mahakama itapanga tarehe ya kuendelea kusikiliza ushahudi wa kesi hiyo ya mauaji namba 12 ya mwaka 2018.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad