Kigali, Rwanda Wafuasi wa Upinzania Waendelea Kutoweka


Eugene Ndereyimana mwanachama wa muungano wa upinzani usio rasmi wa FDU-Inkingi ametoweka wakati akienda kuongea na Wananchi wa Mji wa Nyagatare

Ndereyimana(29) ambaye ni Baba wa Watoto wawili ni mtu wa 5 kutoka chama cha FDU-Inkingi kutoweka katika mazingira tata

FDU-Inkingi wamekuwa wakiendesha harakati za kuikosoa Serikali ya Rais Paul Kagame aliyekaa madarakani tangu mwaka 2000

Wapinzani nchini Rwanda wanaripotiwa kutekwa, kufungwa jela na kukamatwa kiholela na vyombo vya ulinzi na usalama nchini humo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad