Kigoma Yaanza Kutumia Traffic light “Madereva Hawajui Wanapitiliza tu”



Haatimae taa za barabrani ‘Traffic Signal’ kwa mara ya kwanza katika Manispaa ya Kigoma Ujiji zinazotumia umeme wa Solar sasa zimeanza kutumika kwa ajili ya watembea kwa miguu na magari eneo la kwa Bera pamoja na nyingine imewekwa eneo la Kwamchaga huku Wananchi na Madereva wakiomba Serikali ya Mkoa wa Kigoma kutoa elimu juu ya matumizi ya taa hizo kwa kuwa wengi hawafahamu matumizi yake.

 VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad