Kimenuka..Mchezaji GADIEL Michael Aika Vibaya Simba....Adai Hajasign Mkataba Wowote Nao



BEKI wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael,  amekanusha taarifa zilizozagaa kuwa amesaini mkataba na Simba na kwamba hajafanya mawasiliano yoyote na klabu hiyo.

Amesema suala la  kuongeza mkataba na klabu yake ya sasa  ya Yanga, litakamilika siku chache zijazo baada ya kurejea kutoka kwenye mashindano ya ubingwa kwa nchi za Afrika (Afcon) yanayofanyika Misri.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad