Kwako Mwalimu Kashasha Perfomance ya Afrika Kusini Unaizungumziaje


Baada ya kumalizika kwa mchezo wa 16 bora wa AFCON 2019 kati ya Misri wenyeji dhidi ya Afrika Kusini walioibuka na ushindi wa goli 1-0, AyoTV ilipata nafasi ya kuongea na mchambuzi wa soka mwalimu Alex Kashasha ambaye alikuwa sehemu ya waandishi waliohudhuria na kutazama mchezo huo, huu ndio uchambuzi wake.

VIDEO:

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad