Lema Aliamsha Dude Ahoji Kinana Leo Hii Amekuwa Mpumbavu?


Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema) Godbless Lema amehoji aliyekuwa Katibu Mkuu mstafuu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Abdulrahman Kinana  leo ni mpumbavu.

Lema aliandika ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa kijamii wa Twitter  ambao unaosomeka hivi ” Abdulrahman Kinana leo ni mpumbavu???,”.
Katibu Mkuu wa CCM, Ally Bashiru, Jana alisema kuwa “Ole wake mwana CCM yoyote atakayetumia upumbavu wa wapumbavu unaoendelea ili atafute ‘kiki’ tutapambana nae, Chama kina utaratibu, kanuni na tamaduni zake,” amesema.

Bashiru amewaonya wana CCM ambao watabainika kufanya malumbano ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kile kinachoendelea atawafukuza.

Aidha, amesema ligi iliyotengenezwa sio saizi yao na kusisitiza kuwa CCM ni chama madhubuti na viongozi wake wapo imara.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Godilesi. Nyie ndiyo wale wale wa Chandimu.
    Umepata hoja ndiyo kihere here kama cha Kubenea...!!! ?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad