Mabomu Yasikieni Kwa watu tu...Mwonekano wa Hoteli iliyoshambuliwa na Kundi la Kigaidi la Al-Shabaab na Kuua Mtanzania

Mwonekano wa hoteli iliyoshambuliwa na kundi la kigaidi la Al-Shabaab mjini Kismayu #Somalia na kusababisha kifo cha mfanyabiashara mtanzania Mahad Nur Gurguurte na wengine 26 akiwemo mwandishi wa habari wa kike

Marehemu Mahad atakumbukwa zaidi kwa biashara za hoteli nchini, ikiwemo ya Paradise Beach ya Bagamoyo.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad