Mahakama Yamuachia kwa Dhamana Mbunge Jaguar
0
July 03, 2019
Leo July 3, 2019 Mbunge wa Starehe Charles Kanyi maarufu kwa jina Jaguar ameachiwa huru na mahakama jijini Nairobi kwa dhamana ya zaidi ya Shilingi Milioni kumi baada ya kushtakiwa kwa tuhuma za uchochezi.
Tags