Mama Mondi Akanusha Mwanaye Kutumia Madawa ya Kulevya

MAMA wa msanii nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platinumz, anayefahamika kwa jina la Bi Sandra (Sandura Kassim) amekanusha tetesi za mwanaye kudaiwa kutumia madawa ya kulevya.

Mama huyo amesema mwanaye amekuwa akifanya kazi sana kila kukicha hivyo anachoka sana na si kweli kwamba anatumia madawa kwani Diamond anajua fika madhara ya kutumia madawa na kama angetaka kutumia basi angeanza zamani alipokuwa akiishi Tandale.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bi Sandra, umependeza na Kibenteni chako. kwa hiki Kibenteni pia kiliishi Tandale?
    Labda uwezo wa kununua haukuweposiku zile,
    Mange akisemaga huwa inakuwaga.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad