Marekani Yaidhinisha Adhabu ya Kifo Kuanza Kutekeleza Tena....


Serikali ya Marekani imeidhinisha adhabu ya kifo ianze tena kutekelezwa baada ya adhabu hiyo kusitishwa miaka 16 iliyopita
Ma
Mwanasheria Mkuu, William Barr amesema kuwa tayari ameiagiza Halmashauri ya Magereza kupanga siku ya kunyongwa kwa wafungwa watano waliopewa adhabu hiyo kwa kuhusika na mauaji na ubakaji wa watoto na watu wazima

Tangazo hilo limefutilia mbali makubaliano ambayo hayakuwa rasmi ya kusitisha adhabu hiyo ya kifo, hali ambayo ilikuwa inapinga uamuzi wa Mahakama kuhusu adhabu ya kifo

Adhabu hiyo ilitekelezwa mara ya mwisho mwaka 2003 dhidi ya Louis Jones Jr, 53, mbabe wa vita vya Ghuba aliyemuua askari wa miaka 19 Tracie Joy McBride
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad