Mbosso Amfungukia Mwijaku 'Siwezi Muogopa Mwanaume Mwenye Kipara Kama Mwijaku"


Kutoa Lebo ya WCB Msanii Mbosso ameamua kumlipua Mwijaku kwa kusema kuwa kwenye maisha yake haogopi mwanaume mwenye kipara.

Maneno hayo yamekuja baada ya Mbosso kusema kuwa sasa hivi ameacha kupost vitu vyake vya kimaendeleo kwa sababu akipost kuna watu wanadandia na kuanza kuongea wasiyoyajua.

Alipoulizwa na Mwandishi wa habari kwahiyo umeacha kupost sababu ya Mwijaku', Mbosso alijibu "Siwezi kumuogopa mwanaume mwenye kipara maishani mwangu"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad