Mbowe Apata Pigo Afiwa na Kakaake Mikutano Yake yahairishwa


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefiwa na Kaka yake General Mbowe hapo jana mchana, msiba upo nyumbani kwa Marehemu Salasala, Dar es Salaam.

Kutokana na msiba huo, CHADEMA imeahirisha mikutano ya hadhara ya Mbowe ambayo ilitarajiwa kufanyika jimboni humo kwa siku saba kutokana na kifo cha kaka wa mbunge huyo.

Ikumbukwe kuwa Mikutanao ya Mbowe jimboni kwake ilikuwa imepangawa kuanza leo July 29 hadi August 4 mwaka huu.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad