Meya Jacob Ahoji Musiba ni Mkubwa Kuliko Bashiru


Meya wa Ubungo, Boniface Jacob  amesema hivi karibuni Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Bashiru, amepiga marufuku  kujadili upumbavu wa wapumbavu iweje Cyprian Musiba kuendelea kujadili hilo jambo.

Jacob aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa Twitter huku akihoji iweje Musiba kuendelea kujadili upumbavu wa wapumbavu.



Meya huyo aliandika hivi ” Je Musiba in mkubwa dokta Bashiru?

Je Musiba ana mdharau dokta Bashiru?

Je Dk Bashiru ashirikishwi mipango mkakati? ,”
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad