Mrembo Saby ANGEL Amtamani Diamond Platnumz

SABY ANGEL ambaye alikwishatoa nyimbo mbili zilizosukwa kwa Adam Juma amesema anatamani sana Diamond Platnumz amsaini Wasafi kwani uwezo wa kuimba na kutunga nyimbo anao. .

Yaani Nimekuwa nikimuota Diamond kila siku ananiingiza kwenye lebo ya Wasafi, Napenda sana kufanya kazi nao kwani naamini nina kipaji kikubwa cha kuimba mziki
Aidha, muigizaji huyo ameitwa Kenya kwa ajili ya series mpya

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad