Msanii 50 Cent amkana anayedaiwa kuwa mtoto wake

Msanii wa muziki nchini Marekani, 50 Cent amegonga vichwa vya habari kwa mara nyingine, hii ni baada ya kumkana hadharani kijana aitwaye Marquise Jackson (21) anayedaiwa kuwa ni mtoto wake.

50 Cent kupitia ukurasa wake wa Instagram, amesema kuwa kijana huyo sio mtoto wake na tayari ameshapima damu kuhakikisha hilo.

“Yule sio mtoto wangu, Nimeshapima damu. Nitolee umbumbavu wako hapa,“ ameeleza 50 Cent kwa kumjibu shabiki yake ambaye aliuliza kwanini?

50 Cent kwenye show yake na Snoop Doggy walimbania dogo Marquis Jackson asiingie backstage na kumuacha nje kwenye viti vya kawaida.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad