Muonekano wa Ndege Binafsi ya Nyota wa Barcelona na Argentina, Lionel Messi:


Muonekano wa ndege binafsi ya nyota wa #Barcelona na #Argentina, Lionel Messi:

Ina jiko, mabafu mawili, viti 16 ambavyo vinaweza kukunjwa na kuwa vitanda 8. Ndege hiyo imeandikwa namba 10, namba anayoivaa Messi, na kwenye ngazi ameandika jina lake, na mkewe na watoto wao watatu.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad