Mwanamke Aibuka na Kuwafunda Wanaume Wakware Wanaotongoza Wanawake Inbox ama DM


Unakubaliana na mrembo huyo pichani ?

Ameibuka kuwafunda wanaume wa kiafrika Kwa kuwaambia kuwa ukienda inbox/DM Kwa msichana Ili usiharibu au kukataliwa, kwanza kabisa mpe salam kisha mwambie "hello mrembo je waweza kunitumia account namba yako ya bank nikuingizie pesa?, au je tunaweza kutoka wote Kwa ajili ya chakula na vinywaji?, au nimeona nguo nzuri ya gharama nafikiri itakupendeza je ungependa kuipata?"

Ameongeza kuwa Ili mwansume usivurunde inbox/DM Kwa msichana usingie Kwa kishindo na mazungumzo ya kumsifia sehemu za mwili wake mfano una hiki kizuri au hiki kinavutia sijui kifua sijui kiuno msichana atakukinai mapema wewe muulize namba yake ya account ya bank
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad