MWIJAKU Afunguka - 'ALIKIBA Kumuacha MKEWE / DIAMOND Hawezi KUOA"

Muigizaji wa filamu Bongo, Mwijaku, ambaye kwa sasa anatamba na tamhiliya yake ya 'Mahaba', amepiga stori na Global TV na kuizungumza tamhiliya yake pamoja na soko zima la filamu... Mwijaku pia amezungumzia kuhusiana na ndoa ya mwanamuziki Alikiba inayodaiwa kuvunjika, akiwa kama mtu wa karibu na Kiba, amesema ndoa hiyo haijavunjika isipokuwa kuna migogoro ya hapa na pale inayosababishwa na mwanamke huyo kutokubaliana na ukweli kwamba mumewe ni supastaa wa dunia...
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad