Mwijaku Afunguka Kuhusu Habari za ALI Kiba Kuachana na Mkewe
0Udaku SpecialJuly 07, 2019
"Nilimwambia Alikiba amlete mke wake nimshauri vizuri namna anavyotakiwa kuishi na mumewe, anatakiwa ajue Alikiba ni msanii mkubwa, asisumbuke na vitu vidogo" - Mwijaku