Naomba Nitoe Pongezi Kwa Ma DJ wa Wasafi Radio...Kwa Kucheza Nyimbo za Kina Kiba


Mnyonge myongeni haki yake mpeni bana, basi iko hivi juzi kati niko natoka zangu kazini bana nikasema leo ngoja nisikilize Wasafi Radio si unajui hizi foleni za Dar Jioni , Basi ile kutune in Nasikia wimbo wa kiba ule kadogo, si nikajua nimekosea Station bana...Ikabidi niangalia Frequency kwa mara ya pili nikagundua bana ni ile ile Wasafi FM...

Baada ya kusikiliza kwa muda nikagundua pia kwenye hiyo play list aliyokuwa anaicheza DJ kwa umahiri mkubwa pia kuna wasanii wengine wanapigwa ambao kwenye radio zingine huwaga siwasikii kabisa hasa wale wazamani kidogo...Nasikia mpaka wengine wanataka data huko kitaani kwa kubaniwa na radio zingine......

Any way ndo hayo tu ya leo kutoka kitaani , Hongera Wasafi FM

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad