Ndege maalum ya Jeshi la Kenya iliyobeba Dhahabu ya Tanzania iliyokamatwa Kenya

Ndege maalum ya Jeshi la Kenya iliyobeba Dhahabu ya Tanzania iliyokamatwa Kenya ikiwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhiwa kwa Serikali ya Tanzania.


Hii leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli ameshuhudia makabidhiano hayo Ikulu Dsm kutoka kwa Mjumbe Malalum wa Rais Wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyata.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad