Polisi wazungumzia madai ya msaidzi wa Zitto Kabwe kutekwa

'Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limezungumzia suala lilogonga vichwa vya habari hivi karibuni, suala hilo lilidai kuwa msaidizi wa Zitto Kwabwe, Raphael Ongangi ametekwa.

Akizungumza na waandishi wa habari hii leo, Kamanda Lazaro Mambosasa amesema, "Kuna watu walisema kwamba ametekwa (Raphael Ongangi) lakini kwa taarifa tu ni kwamba kule Mombasa amepatikana Tena karibu kwa shangazi yake".

Ameendelea kwa kusema "Mwaka juzi wakati niko Dodoma, huyo mtu (Raphael Onginga) aliwahi kuzua jambo kwamba anataka kutekwa yeye mwenyewe. Leo asubuhi nimeongea na Afande IGP, Kuna maelekezo nimepewa, nitatoa taarifa zaidi lakini tunafanya mawasiliano na wenzetu wa Kenya pamoja na Interpol"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad