Rais Magufuli azipangia kazi Madini, Fedha zilizorudishwa kutoka Kenya,


Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli dhahabu zilizorudishwa kutoka Kenya ambazo thamani yake ni zaidi ya Bilioni 5 fedha hizo zitatumika kujenga barabara.

Rais Magufuli amesema kuwa fedha hizo zitajenga barabara kutoka Fuga kuja hapa (KM 60) kuwe na barabara ya lami kwa ajili ya watalii kuja kuangalia Bwawa la Nyerere.

"Juzi zimerudishwa Dhahabu kutoka Kenya ambazo thamani yake ni zaidi ya Bilioni 5, hizo fedha zianze kujenga barabara kutoka Fuga kuja hapa (KM 60) kuwe na barabara ya lami kwa ajili ya watalii kuja kuangalia Bwawa la Nyerere na Nyerere National Park," amesema Rais Magufuli.

Rais Magufuli ameyasema hayo leo katika hafla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Rufiji.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad