Rais Museveni Aisifu Tanzania kwa Madini


Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa Tanzania ina Madini mengi na Uganda kuna madini kadhaa.

Museveni ametoa kauli hiyo Chato Mkoani Geita ambapo amesema nchi ya Uganda ilivumbua mafuta na gesi

''Hapa Tanzania mko na madini mengi, vilevile Uganda kuna madini kadhaa na nyuma kidogo tulivumbua mafuta na gesi, bahati nzuri bomba la mafuta linapita hapa Chato hii ni ishara ya ushirikiano mkubwa,''  amesema Rais Museveni.

Rais Museveni yupo amewasili leo ambapo yupo kwenye ziara binafsi ya siku 1.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad