Simba Queens yakabidhiwa bendera ya Taifa kuelekea Ujerumani

Timu ya Wanawake (Simba Queens) leo imekabidhiwa bendera ya Taifa kuelekea nchini Ujerumani ambako itafanya ziara ya kisoka ya wiki mbili.

Msafara wa timu hiyo unatarajiwa kuondoka hapa nchini Jumatatu Julai 15, 2019 na utarejea nchini Alhamisi Agosti mosi, 2019.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad