Simba SC wamsajili Gadiel Michael

Beki wa kushoto wa timu ya Taifa ya Tanzania Gadiel Michael Mbaga amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa watetedi Simba SC. Gadiel ametua Simba akitokea kwa watani wao wa Jadi Yanga.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad