South Africa Yafuta Viza Kwa Nchi ya Ghana, Kenya Endeleeni Kuvuta Subira.


Majirani mnavuna mlichopanda, hata baada ya kuomba na kuipigia magoti South Africa ili waondoe visa kwa wakenya, ili kuonyesha heshima kwenu baada ya Kenya kuondoa visa kwa South Africa, hiyo haijatosha kuwasahaulisha kutokana na maovu mliyotenda enzi za ukombozi.

Mwaka huu South Africa imetangaza nchi saba na kuzifutia visa, mbili ni nchi za Africa, Ghana na kisiwa cha Sao Tome, Kenya bado inaendelea kuvuta subira, mkichoka vuteni Shisha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad