Taifa Stars Yashindwa Kutakata Nyumbani


Mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Chan kati ya Taifa Stars na Kenya umekamilika uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kwa sare ya bila kufungana.

Kipindi cha kwanza kwa timu zote mbili hakuna hata timu moja iliyopiga shuti lililolenga lango kwa mpinzani  wake.

Kwa matokeo hayo ya leo, Taifa Stars ina kazi kubwa ya kufanya kwenye mchezo wa marudio utakaochezwa nchini Kenya August 4 mwaka huu.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad