Teknolojia ya VAR kuanza kutumika leo AFCON

Teknolojia ya VAR itaanza kutumika leo katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Mataifa Afrika 2019. Hii ni mara ya kwanza teknolojia hiyo kutumika katika michuano hii.

Awali ilipangwa kuanza kutumika kuanzia katika hatua ya nusu fainali lakini ikabadilishwa na sasa itaanza kutumika kuanzia robo fainali.

Mechi za robo fainali zikatazochezwa leo ni Senegal dhidi ya Benin saa moja kamili usiku na Nigeria dhidi ya Afrika Kusini kuanzia saa nne kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad