Tetesi: Mo Dewji Muda Wowote Kuachana na Simba

Mmoja ya wamiliki wa simba SC na C.E.O wa kampuni ya METL Mohamed Dewij, imeelezwa muda wowote kuanzia hivi sasa anaweza kuachana na klabu hiyo kama muwekezaji.

Taarifa za ndani zimeanza kuenea huku ikidaiwa kwamba hii ni kutokana na kukosekana kwa maelewano katika baadhi ya mambo na viongozi wa klabu hiyo yenye maskani yake mtaa wa msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad