Tuweni Makini Wakati wa Kuwapa Watoto Majina...!!!
0
July 31, 2019
Hili limekuwa tatizo sasa, wazazi mnawapa watoto wenu mizigo bila kujua. Majina yana tabia ya ku-reflect tabia ya mhusika... Mfano mtu anaitwa mashaka, tabu, shida, mawazo,hatia,majuto.
Matokeo yake mtoto akiwa mbaya mnaanza kumlaumu kumbe shida ni nyie.
Mfano mtu anaitwa Tabu... Alafu unategemea awe na busara kweli.. Matokeo yake ndo haya mnakuja kuwapa watu shida buree...Nina Ushahidi Baadhi ya watu ninao wajua baada ya kuona wanapata tabu sana katika maisha yao waliamua kubadili majina yao na milango yao ikafunguka
Kuweni makini.
Tags