Ukiona Unawekewa Masharti Katika Penzi Jua Unaibiwa



Katika hali isiyo ya kawaida mpenzi wako hawezi kukuwekea masharti katika kukupa penzi pasipo na sababu za msingi.

Anaweza kukunyima penzi kwa sababu ya kuumwa au akiwa katika hedhi kama hayupo katika sababu hizo mbili basi ujue ameanza ule mchezo wa kuchepuka.

vitu ambavyo wanaume mnatakiwa kuwa makini na mwanamke wako ni kujua dalili ambazo ameanza kukusaliti ni pamoja na kukuwekea masharti katika penzi.


Ukiona unawekewa masharti katika uchi wake jambo la kwanza ni lazima uanze kujifikirisha ni kwa nini hilo jambo limetoke je mwanzo alikuwa na hayo masharti tangu mlivyoanza mahusiano.

Jitahidi kuchekecha vizuri akili yako je mpenzi wako ni mgonjwa mpaka aanze kukupa masharti je lile penzi hutolewa kwa masharti.

Penzi ni jambo muhimu katika mahusiano yenu inapotokea mmoja wenu anaanza kukupa sababu ambazo awali hazikuwepo jua unamegewa penzi lako.

Haiwezekani tangu mwanzo mlikuwa mnapeana vizuri alafu gafla uanze kumuwekea mpenzi wako masharti ya kumpatia uchi.

Hilo haliwezekani kukubalika katika mahusiano. Mpenzi wako anapokuwa na hamu wakati wowote unapaswa kumpatia labda tu kama utakuwa katika hali mbaya yaani wekundu wa msimbazi umeanza hapo una haki ya kumnyima mchezo.

Lakini unaweza kutumia njia mbadala na kumfanya mpenzi wako akafika kileleni na kufurahi. Njia mojawapo unaweza kumnyonya na akakojoa akabaki na furaha.


Sasa wanawake wenzangu mnawaweke pasiwedi wanaume zenu mnataka waende wapi? kuchepuka au mnachokitaka ni kipi. Hivi mwanaume wako kama kweli unampenda iweje umpangia kufanya mapenzi.

Ukiona mwanamke wako anakunyima pasipo sababu za msingi wakati hamjacheza ule mchezo mna wiki hapo lazima utilii shaka na uwe makini kufuatilia mienendo yake utagundua jambo.

Usikubali kuwekewa pasiwedi katika penzi unapojisikia muandae vizuri mpenzi wako na kumtembezea mashine.


Unajua mimi nawashangaa hawa wanaowanyima wapenzi wao kuwapa penzi sasa wanaenda kuishi nao kwa ajili ya nini. Jiulize kilichokutoa nyumbani kwenu ni kipi mpaka umeenda kuishi na huyo mwanaume.

Wanawake wenzangu mnajifanya makauzu ila nataka nikuambie tu unapokuwa unamuwekea masharti mwanaume wako ambaye unaishi naye katika penzi ni kumtengenezea mwanaume mazingira magumu.

Unategemea mwanaume apeleke hisia zake wapi alafu akitafuta mchepuko unaanza kukimbilia kumtafuta baba mchungaji wakati tatizo umelisababisha mwenyewe embu badilikeni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad