UPDATE: Wafanyakazi watano wa Azam Media wafariki kwenye ajali



Wafanyakazi watano wa Azam Media ni miongoni mwa watu saba waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea katikati ya Shelui na Igunga hii leo.

Wafanyakazi wengine wawili wapo mahututi huku mmoja hali yake si mbaya.

Ajali hiyo imetokea wakiwa njiani kuelekea Chato kwa ajili ya kwenda kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa hifadhi ya Burigi.

Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi Ameen.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad