Usajili wa wachezaji kwa timu za Ligi kuu wasuasua

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limevitaka vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu Tanzania bara kufanya usajili kwa wakati kabla ya Julai 31 mwaka huu ambapo zoezi hilo litafungwa.

Msemaji wa Shirikisho hilo Clifford Ndimbo amesema,kumekuwa na muitikio mdogo wa usajili wa wachezaji wa vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu ya Tanzania bara kwa kutumia mfumo wa TFF FIFA Connect.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad