Vanessa Mdee' Mapenzi ya Jux na Mchina Yalinibana Mpaka Shingoni"

"Mimi sichukii kusemwa mitandaoni, lakini inafikia mahali unashindwa kuvumilia, mfano hili suala la juzi hapa la bwana mzee (Jux) na Mchina wake, lilinibana mpaka shingoni ndio maana nikaamua nizungumze" - Vanessa Mdee

Toa maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad