Vanessa Mdee 'Nilimpika na Kumfunda Mimi Mars Kabla ya Chochote'


Mwanadada Vanessa Mdee amefunguka kuwa mafanikio ya mdogo wake yanatokana na yeye kutumia muda mwingi kumtengeneza kabla ya kupata ustaa alionao sasa.

Akizungumza na DIMBA, Vanessa alisema, kabla ya watu kumfahamu Mimi Mars alitumia muda wake mwingi kumtengeneza kwani aliona kipaji chake tangu akiwa mdogo.

Unajua watu wengi wamemjua Marriane kupitia kazi zake, mimi ni ndugu yangu na tangu zamani nilimuahidi lazima nitamfikisha mbali kwa kuwa tayari alikua na upeo, naamini hata sasa bado safari yake ni mbichi yapo mengi natakiwa kumrekebishaîalisema Vanessa.

Mimi Mars kwa sasa amekua akifanya vyema kupitia kazi zake kama ‘Mua’ na ‘Kodoo’.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad