VIDEO: ACT Wazalendo Wafunguka Kutumbuliwa Kwa January Makamba


Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema kutenguliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba ni matokeo ya mpagaranyiko ndani ya CCM na majibu ya waraka ulioandikwa na waliokuwa makatibu wakuu, Yusuph Makamba na Abdulrahman Kinana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad