VIDEO: ''Kinana na Makamba Wamuombe Radhi JPM''


Wakili wa Kujitegemea, Leonard Manyama amewaomba waliokuwa Makatibu wakuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kuomba kukutana na Rais Magufuli ili waweze kuongea kama kuna jambo lolote waweze kumueleza kwa manufaa ya taifa kwa ujumla.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad