VIDEO: Mbunge Bwege Aangua Kilio Hadharani/ Kisa Kizima Hichi Hapa


Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu kwa jina la 'Bwege' ameangua kilio mbele ya wanachama wa CUF katika ofisi za wilaya za chama hicho zilizopo Kilwa Kivinje. Bwege aliangua kilio hicho kutokana na madai ya mgogoro uliotokea ndani ya chama chao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad