VIDEO: Zitto Kabwe awatumia salamu za vitisho CCM ‘Kwenye uchaguzi wa haki, Nyie ni wepesi kama makaratasi’


Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto Kabwe amekitaka chama tawala CCM kuacha kutumia mabavu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kusisitiza kuwa wawe wapole na watumie sheria za uchaguzi ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki.


Zitto ameongea hayo leo Jumapili Julai 28, 2019 wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la chama hicho, Vingunguti Jijini Dar Es Salaam.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad