Web

VIDEO:Diamond Platnumz Awazawadia Magari ya Bei Mbaya Mama yake Mzazi na Mpenzi Wake Tanasha

Top Post Ad




STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kuwazadia magari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .pamoja na mpenzi wake Tanasha

Diamond amefanya hivyo wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 52 Mama yake na Mpenzi wake Tanasha kutimiza miaka 24

Gari zilizotolewa ni aina ya Toyota Prado V8



Below Post Ad

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.