Waziri wa Misri atembelea mradi wa kuzalisha umeme Rufiji

Waziri wa Ujenzi wa Misri, Mahmoud Abdel Hamid leo, Alhamisi ametembelea mradi wa ujenzi wa umeme wa Mto Rufiji unaoendelea.

Waziri huyo anatembelea mradi wa umeme wa Rufiji kwa mara ya kwanza ili kuangalia maendeleo ya mradi huo unaojengwa na makampuni kutoka nchini Misri.


Kabla ya kuanza ziara katika eneo la mradi Waziri huyo na timu iliyoambatana nayo, ilipata nafasi ya kupewa mafunzo ya usalama mahala pa kazi na kisha kutembelea eneo hilo ambalo linatarajiwa kuzalisha umeme wa zaidi ya Megawatts 2100.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad