HomeUdaku SpeshoWema Sepetu Aachiwa HURU Na Kisha Kukamatwa Tena Wema Sepetu Aachiwa HURU Na Kisha Kukamatwa Tena 0 Udaku Special July 04, 2019 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, lakini dakika chache baadaye askari magereza walimkamata tena. Malkia huyo wa filamu anakabiliwa na kesi ya kusambaza picha zinazodaiwa kuwa za ngono mtandaoni. Tags Udaku Spesho Newer Older