Zari "Diamond Aliniomba Tufunge Ndoa ya Ghafla Kumzima Hamisa Mobetto Nikamchomolea"

Zari amesema Diamond alimuomba wafunge ndoa ya ghafla Ili kuzima sokomoko lake na Hamisa Mobetto Ila akakataa !

Zari anasema Diamond alimdhalilisha sana kiasi cha kushindwa kumsamehe kwani yeye ni mtu mwenye jina kubwa Afrika Mashariki kitendo Mond kumdanganya kuhusu uhusiano wake na Hamissa Mobetto hapo awali ni dharau kubwa sana na baadaye kufunguka kwenye vyombo vya habari alisikitishwa kwa kitendo hicho
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad