Zitto KABWE Afunguka 'Rafiki Yanga January Makamba Karibu Tena Back Bench"

Zitto Kabwe ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

"Rafiki yangu @jmakamba karibu tena Backbench tuendelee na kazi. Ulikuwa Mbunge bora sana back bench 2010-2012 na ninaamini itakuwa hivyo tena 2019-2020. Umekuwa mmoja wa Mawaziri bora kabisa ambao umeonyesha tofauti ya KUTAWALA na KUONGOZA. Namna ulivyoongoza marufukuya mifuko ya Plastiki ilionyesha falsafa yako ya uongozi ni tofauti sana na falsafa ya Serikali yenu ya CCM. Tuna kesho nyingi tupambane kuijenga Tanzania inayojali watu wake na ya kidemokrasia."Zitto Kabwe

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad